Numbers 13:1-3

Kupeleleza Kanaani

(Kumbukumbu 1:19-33)

1 Bwana akamwambia Mose, 2 a“Watume baadhi ya watu wakaipeleleze nchi ya Kanaani, ambayo ninawapa Waisraeli. Kutoka kwa kila kabila la baba zao, tuma mmoja wa viongozi wao.”

3 bHivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli.
Copyright information for SwhNEN